Halmashauri imeendelea kutekeleza majukumu mbalimbali yanayolenga kuwakinga wananchi na magonjwa ya kuambukiza. Majukumu hayo ni pamoja na:
i.Ukaguzi wa nyumba za kuishi na majengo ya biashara kama vile nyumba za kulala wageni,majengo ya kutengeneza na kuuza vyakula ili kuondoa maambukizo yanayoweza kuhatarisha afya ya binadamu.
ii. Utoaji wa elimu ya afya kwa umma kuhusu masuala mbalimbali ya afya.
iii.Utoaji wa chanjo kwa magonjwa ya kuambukiza kwa wajawazito na watoto
iv.Usimamizi wa afya na usalama mahala pa kazi
v.Usimamizi wa usafi wa Mazingira.
Makambako Town Council
Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
Simu ya mezani: 026-2730044
Simu ya Kiganjani: 0767633415
Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa